• Tuesday, 24 December 2024

Nitaosha Dem wa Facebook akuwe type yangu, Obinna says as he gives update of Kimani Mbugua condition

"Nitaosha Dem wa Facebook na akuwe type yangu, in the next 5 years nitamdunga shindano ajae huko nyuma" Obinna speaks of his relationship with Dem wa Facebook. "Nina record kila kitu yenye nafanya kusaidia Kimani Mbugua, sitaki kufanyiwa vile mlifanya BabaTalisha akisaidia Chira" Obinna says as he gives update on Kimani Mbugua's condition

Share on

SHARE YOUR COMMENT

// //